BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu

Moja kwa moja Ujerumani yagundua jamaa wa Tanzania walio hai kwa kulinganisha na DNA ya mafuvu yaliyoibiwa wakati wa ukoloni
Watafiti huko Berlin wamegundua jamaa walio hai wa watu ambao mabaki yao yaliibiwa kutoka Tanzania na kupelekwa Ujerumani kwa majaribio ya "kisayansi" wakati wa ukoloni.
Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii

Kwa nini Simu na 'Laptop' yako ni mgodi wa dhahabu
Kwa nini 'Laptop' yako ni mgodi wa dhahabu

Mali: Kipi kifuatacho kwa nchi inayotegemea Wagner kwa usalama wake?
Wakati Mali inapambana na wapiganaji wa Kiislamu na makundi ya wanaotaka kujitenga, nchi hiyo imewageukia mamluki wa Wagner kwa usalama. Lakini kiongozi wa kundi hilo ameaga dunia. Upi mustakbali wa Mali na usalama wake?

Tetesi 5 kubwa za Soka Ulaya
Tetesi 5 kubwa za Soka Ulaya

Man Utd yaongoza orodha ya timu zilizopata hasara kubwa ya uhamisho katika kipindi cha muongo mmoja uliopita
Man United imetumia fedha nyingi zaidi katika muongo mmoja uliopita

Je, unaweza kununua eneo mwezini?
Ni nani anayeuza maeneo kwenye mwezi? Je, ni halali kununua ardhi kama hii? Wanunuzi wanasema nini? Sheria zinasemaje?
Taarifa za uhamisho: usajili uliofanyika siku ya mwisho
Dirisha la uhamisho kwa Ligi Kuu na EFL lilifungwa saa tano za usiku kwa saa za Uingereza mnamo Septemba 1, huku lile la Ligi Kuu ya Uskoti lilifungwa saa tano na dakika 59 kwa saa za Uskochi.


Mashindano ya Riadha ya Dunia: Omanyala mwenye uchu wa dhahabu anayolenga kuishindia Afrika
Bingwa wa Michezo ya Jumuiya ya Madola Ferdinand Omanyala amelinganisha "ushindani" wa mbio za mita 100 na ndondi huku akilenga dhahabu kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia mwezi huu huko Budapest.

Gudaf Tsegay: Alishinda ubingwa wa dunia wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe Ethiopia
Mzozo huo uligharimu maisha ya maelfu ya watu. Babaraza za kuelekea Tigray zilifungwa, vilevile serikali ilizima huduma za simu na intaneti

Mandonga: Ushahidi mwingine wa mchezo wa ngumi ulivyo njia panda 'pesa vs afya'
Mandonga: Ushahidi mwingine wa mchezo wa ngumi ulivyo njia panda 'pesa vs afya'

Neymar kwenda Al-Hilal: Kwa nini Saudi Pro League inawasajili nyota wa klabu za Ulaya?
Mapema msimu huu Gary Neville alitoa wito kwa Ligi Kuu ya `Premia kusitisha uhamisho wa wachezaji kwenda Saudi Arabia kwa sababu za "uadilifu", lakini inaendelea kuwa hadithi kubwa zaidi ya kandanda katika msimu huu.

EPL 2023-24: Nyota gani wa Afrika wa kuwatazama?
Msimu wa Ligi Kuu ya 2023-24 hautakuwa tofauti, iwe ni majina yaliyozoeleka, sura mpya au wachezaji wanaorejea kwa ajili ya kupata mafanikio zaidi, wapo wafrika watakaochomoza

Wachezaji watano hatari waliosajiliwa Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu
Klabu za ligi ya Premier zimetumia zaidi ya pauni bilioni 1 (dola bilioni 1.3) kununua wachezaji wapya kabla ya kuanza kwa msimu mpya siku ya Ijumaa.

Tazama: 'Babu yangu ni pacha, bibi yangu ni pacha, sisi pia ni pacha na watoto ni pacha'
Familia hii inatoka katika mji wa mapacha Igbo-Ora nchini Nigeria.

Balozi: Watanzania watano wamefariki kwenye ajali ya moto Afrika Kusini
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema watanzania watano wamefariki dunia katika ajali ya moto uliowaua watu 74 nchini Afrika Kusini jana Alhamisi.

Mapinduzi ya Gabon: Rais Ali Bongo aomba msaada akiwa katika kizuizi cha nyumbani
Rais wa Gabon Ali Bongo ameomba msaada baada ya jeshi kumuondoa madarakani katika mapinduzi na kumuweka kizuizini.

Video, Pambano la Kwanza la ngumi baada ya miaka 60 Visiwani Zanzibar, Muda 2,13
Marufuku ya masumbwi iliyotolewa 1964 kutokona na sababu za kitamaduni.

Jinsi pikipiki za umeme zitakavyokuwa suluhisho la uchafuzi wa hali ya hewa
Kampuni kadhaa Kenya zimeanzisha matumizi ya pikipiki za umeme ambazo ni za bei nafuu.

Mtanzania atengeneza mfumo wa kusafisha maji taka yanayozalishwa nyumbani kwake
Mfumo huo ambao unajumuisha mpangilio maalumu wa mawe, changarawe, mkaa, mchanga udongo na mizizi ya mimea unamuwezesha kufanya kilimo kwa mwaka mzima
Taarifa kuhusu Coronavirus
Janga la Corona miaka miwili: Mambo matano tuliyojifunza
Mnamo Machi 11, 2020, Shirika la Afya Duniani lilitangaza rasmi mlipuko wa Covid-19. Hivi ndivyo mambo yalivyobadilika


'Covid ilinihofisha nikagandisha yai langu'
Kliniki zinazoongoza za uzazi nchini Uingereza zinaendelea kushuhudia ukuaji wa matibabu ya kugandisha yai.

Omicron na Delta zasababisha tsunami ya kesi za covid-WHO
Walakini, Dk Tedros aliwaambia waandishi wa habari kampeni kubwa nchi tajiri kutoa chanjo za ziada "zina uwezekano wa kuongeza muda wa janga hili", kwani wanaelekeza vifaa kutoka kwa nchi masikini, ambazo hazina chanjo,

Kwa nini Afrika imeshindwa kufikia lengo la chanjo ya kimataifa
Lengo la kufikia 40% ya viwango vya chanjo kamilifu katika kila nchi hadi kufikia mwisho wa mwezi Disemba halijafanikiwa barani Afrika.

Nitajitunza vipi baada ya kupata Covid?
Ni lini inafaa kuondoka kwenye kiti au kitanda ?

Dalili za Omicron: Je mafua ni dalili ya virusi vya corona?
Je mafua yanaweza kuwa dalili ya Omicron?

Maswali yako matano kuhusu kirusi hatari cha corona yajibiwa
Mara tu omicron kilipotajwa kuwa aina ya kirusi kipya tarehe 26 Novemba, mjadala kuhusu kiruisi hiki ulichacha kwenye mitandao.

Ramani mubashara hali ya coronavirus duniani
Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica
Tuyajenge

“Baba alisema hasomeshi mtoto wa kike akihofia kupata hasara"
Tanzania inatajwa kuwa na asilimia 31 ya ndoa za wasichana chini ya umri wa miaka 18, Mila na Tamaduni zinaonekana kuwa kikwazo cha kufikia mapambano dhidi ya ndoa za utotoni.
Global Newsbeat

Katika picha: Mwezi mpevu ulivyoangaza anga duniani
Mwezi mpevu ulionekana kuwa mkubwa na kung'aa kuliko kawaida ulipokuwa ukiangaza anga usiku wa Jumanne.
Dira TV

Video, DIRA YA DUNIA TV JUMANNE 05/09/2023, Muda 28,00
Matangazo ya Dira ya Dunia TV na Peter Mwangangi
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 7 Septemba 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 6 Septemba 2023, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 6 Septemba 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 6 Septemba 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Gumzo mitandaoni
Gharama ya maisha Kenya inavyowasukuma wasichana wadogo katika ukahaba
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kazi Duniani ameonya kwamba kupanda kwa gharama ya maisha duniani kunawafanya watoto kuingia katika biashara ya ngono-na aina zingine za kazi zenye madhara


Wasomali wenye ualbino: Wanaopigwa mawe na mayai
Akirejelea unyanyapaa anaokabiliana nao nchini Somalia kwa sababu ana ulemavu wa ngozi, Elmi Bile Mohamed mwenye umri wa miaka 25 anasema: "Watu huniambia mimi ni mla watu na nitakula watoto wao. Wananiogopa."

Kwa nini China chini ya Xi Jinping haiwezi kuipiku Marekani?
China imekuwa ikistawi na kutajirika kwa haraka zaidi katika kipindi cha miaka 20 iliyopita kiasi kwamba ilikuwa wazi kwa kila mtu kwamba hivi karibuni ingeikamata na kuipita Marekani

Kwa nini tunachukia kusikia sauti yetu wenyewe?
Kusikia sauti yetu wenyewe wakati mwingine ni wasiwasi. Mwitikio huu sio wa ajabu wala mpya. Kwa kweli, utafiti katika 1967 nchini Marekani kwa mara ya kwanza ulionyesha dhana ya " mtu kusikia sauti yake mwenyewe", ambao unaonyesha hisia za mtu kutofurahia kitendo cha kujisikiliza sauti yake mwenyewe iliyorekodiwa.

Nchi 5 bora duniani kwa wageni kuishi ughaibuni
Nchi 5 bora za kuishi ughaibuni

Taka za nyuklia: Mwanadamu hatakwenda katika eneo hili kwa miaka laki moja
Bomba za mafuta zilizotumika kutoka katika vinu vya nishati ya nyuklia kwa sasa zimehifadhiwa katika vituo vya kuhifadhi vya muda
Matumizi ya Lugha
Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.


Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57
Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.

















