Kitukuu
Mandhari
Kitukuu (pia: mtukuu au kusukuu) ni mtoto wa mjukuu, bila kujali jinsia.[1]
Mtoto wake tena anaitwa kilembwe, na mjukuu wake kilembekweza, kilembwekeze au kining'ina.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- 1 2 "eLimu | Msamiati: Nasaba/ Ukoo". learn.e-limu.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-22. Iliwekwa mnamo 2022-04-12.